
16,971 views
Kazi ngumu kweli leo katika kitengo cha patanisho. Kama ibada ilikuwa ni wakti wa kuwaleta wawili wapendanao pamoja ili kutatua yaliyowakosanisha na kuwapatanisha lakini kwa Simon, hakutarajia aliyoyapata baada ya mkewe Joyce kumwambia kinaga-ubaga kuwa kamwe hatorudiana naye na ingekuwa jambo la busara kama angepiga hatua maishani mwake na kutafuta mke mwingine.