
27,887 views
Huku visa vingi vya ubakaji na tabia za kuchosha moyo vikikithiri humu nchini, visa hivyo viliwacha kuwa habari tena na kuwa tukio lililoshuhudiwa na waskizaji wa Radio Jambo asubuhi ya leo. Ilikuwa ni majonzi na huzuni baada ya mwanadada aliyejitambulisha kama Mama Lilian alipokariri aliyopitia katika ndoa iliyovunjika kati yake na mumewe Steve.