
8,894 views
Uchungu wa mzazi aujuaye mzazi wahenga hawakukosea waliponena. Hili lilibainika asubuhi ya Jumatano wakati waazi wawili Lydia na David ambao wanaomboleza kifo cha mwanao walipo sameheana na kurudiana licha ya masaibu yaliyowakumba ambayo yalipelekea matukio hayo ya kutoa moyo.