
18,387 views
Siku ya Jumatatu, 19/9/2016 Juma alituma arafa apatanishwe na mkewe Akinyi baada ya wawili hao kukosana akidai huenda wawili hao wangetekeleza mambo mabaya. Huku wakijaribu kunasua ndoa yao, Gidi na Ghost hawakujua lilokuwa mbele yao kwani patanisho iligeuka kuwa mashindano ya kukemeana na kelele tupu hewani.