
14,582 views
Kama ilivyo ada, paanisho la jana halikukosa vituko vya kila aina, na haswa siku hiyo ikiwa siku kuu ya ndugu zetu waislamu, sikukuu ilitamba kwote kwa wasikilizaji na pia kwa wapenzi wawili, Eliza na bwnake Charles. Eliza 22, alituma ombi la kupatanishwa na Charles 28, ambaye walikuwa wamekosana na kutengana kwa takriban mwaka mmoja.