
20,770 views
Ndete aliomba apatanishwe na mkewe Angel baada ya kukosana lakini lilibainika kuwa yeye ndiye aliyekuwa na tabia ya mipango ya kando, pindi tu walipojaliwa na mtoto. Angel alivumilia tabia zake Ndete lakini baada ya mda mapenzi yake kwa mumewe yaliisha.