
10,602 views
Hapo jana waskilizaji wa Jambo walipata vituko na uhondo kabamabe wakti bwana David alipoomba apatanishwe na mkewe Joyce. Kulingana na David, walitengana na mkewe ambaye ni mganda kwa mda wa mwezi mmoja kisa na maana; Wawili hao waliingia kwa ndoa mapema na Joyce hakupata mda wa kuponda raha jinsi alivyotaka au alivyotamanani.