
20,016 views
Sylvia alipata kibarua kigumu wakti alipo omba apatanishwe na mumewe Luke ambaye walikosana mwaka wa 2014, kisa na maana mumewe alikuwa na tabia za kutanga tanga, licha yake kuwa mgonjwa na kuwa na mke mwingine. Bwana Luke yuko tayari kushughulikia mwanao lakini asema kuwa alimpa Bi. Sylvia nafasi warejeana miaka iliyopita lakini msimamo wake ulikuwa tofauti wakti huyo.