
4,633 views
Fred alijiunga na orodha ya wanaume walio na bahati sana nchini baaada ya mkewe, Angeline kumskiza na kumsamehe licha ya Fred kumshuku kuwa na uhusiano au mpango wa kando. Fred ambaye ni mfanyibiashara anaye safiri masafa marefu, alipashwa habari na rafikiye kuwa kuna mme mmoja ambaye alipatikana kwake na baada ya kufanya utafiti wake akafikia kikomo kwamba mkewe alikuwa na mpango wa kando, kinyume na ukweli.