
16,895 views
Kulikuwa na vituko leo asubuhi katika kitengo cha patanisho, ambapo bwana Mark ambaye alikiri kuwa mkewe, bi Caroline alimfumania akila uroda na mwanadada mwingine, aliomba apataishwe. Kulingana na Mark, mpango huo wa kando alikuwa akimsumbua na kumshawishi kuwa angependa awe mkewe wa pili na wakti Caroline aliposafiri, akaamua kumuita nyumbani kwao.