
587 views
Siku ya Ijumaa, mwanamuziki anayetambulika duniani kote kwa nyimbo zake za aina ya Rhumba, Koffi Olomide alivutia habari duniani si kwa mitindo yake bali kwa kumpiga teke mmoja wa wasakata densi wake, katika uwanja wa kimataifa wa ndege wa Jomo Kenyatta.