
17,504 views
Bi Eunice aliyejawa na hamaki na uchungu zaidi alikataa katakata kurudiana na mumewe, George licha yake kukubali kuwa alimkosea mkewe kwa kumpiga, kumtusi na kumkosea heshima mbele ya watoto wao. Kulingana na Eunice, bwana George hakuwa na utu wa kusaidia kumtibu mwanao na ilimbidi kushughulikia gharama yote peke yake licha ya kutokuwa na ajira.