12,606 views
Bustani la Massawe on Radio Jambo
Aired 20 Jul 2016
16:23
Ilikuwa ni huzuni na majonzi, wakati wa kitengo cha patanisho, Jumanne asubuhi. Hii ni baada ya mwanamke mmoja aliyejitambulisha kama Mama Millie aliomba apatanishwe na mumewe wa miaka miwili