
3,052 views
Gidi na Ghost walifanikiwa kuwapatanisha wapendwa wawili, Eva na James amabao walikosana kisa na maana; Eva aliwafukuza ndugu zake kutoka kwa nyumba yao ya ndoa ambayo ilikuwa chumba kimoja. Kulingana na James, hakuwa na mpango wowote na dada zake Eva licha yake kumshuku.