948 views
Bustani la Massawe on Radio Jambo
Aired 18 Jul 2016
5:28
Kila siku wiki kuanzia Jumatatu hadi Ijumaa, ni dhahiri kuwa mbavu zetu zina kila sababu ya kuumia kwa vicheko, kisa na maana ni ucheshi na ubunifu wake mtangazaji wa kipindi cha Gidi Na Ghost Asubuhi, Ghost Mulee.