
509 views
Ghost Mulee alijipata matatani na mwenzake Gidi, leo asubuhi baada ya kujipulizia manukato ndani ya studio. Hii ilikuwa baada ya Ghost kujivinjari kwa kusakata ngoma yake Tecno Miles, Duro ngoma ambaye kulingana na mtangazaji huyo, humpa mahanjam ya kunengua kiuno hata akiwa kwenye msongamano wa barabara.