
1,340 views
Siku moja tu baada ya kumjulisha bibi yake mrembo kwa mashabiki wake, mtangazaji wa Radio Jambo, Ghost Mulee tayari ametafsiri maana ya methali 'paka akitoka panya hutawala.' Hii ni baada ya mtangazaji huyo ambaye ndiye ameshikilia usukani kuonesha ubarobaro wake katika kusakata muziki ndani ya studio, wakti mwenzake Gidi yuko likizo nchini uaransa.