
527 views
Mtagazaji wa Radio Jambo, Ghost Mulee alirudi siku ya Jumatatu baada ya ziara yake ya zaidi ya wiki moja nchini Uchina. Kando na kujivanjari na mandhari ya uchina na tamaduni zao, Ghost Mulee aliwashangaza waskilizaji aliposimulia kisa kimoja ambacho kinaangazia swala la ubaguzi wa rangi katika bara la ulaya, haswa uchina.