
437 views
"Mimi sikuwa najua kwamba msanii Jaguar angewai kuwa msanii" Alisema mtangazaji Gidi. "Jaguar alikuwa mfanyikazi katika duka moja la dawa jijini Nairobi miaka ya kale, mahala ambapo Gidi alikuwa akimtembelea msanii marehemu Poxy presha miaka ya 2002 wakti alikuwa msanii chipukizi akiwa katika kundi la Gidigidi Majimaji, pamoja na mwenzake Julius Owino.