
223 views
Kama ulidhani uzazi ni mchezo, muulize mwanahabari Yusuf Juma. Hii ni baada ya Juma jumatatu asubuhi kukiri kuwa kamwe hatochukulia majukumu ya kina mama kwa urahisi. Kulingana na mwanahabari huyu wa miraba minne, matukio ya wikendi iliyopita kati yake na mwanawe ilimfunza mengi kuhusu uzazi na haswa umuhimu wa kuwaheshimu akina mama.