
1,414 views
Hii propaganda ambayo Raila anasema, ni kama ukweli na ni kama ukweli." Alianza Peter. Mimi sijakomaa kisiasa lakini kuna propaganda ambazo zinaenezwa huku pande ya maeneo ya kati, eti kwamba wakti mheshimiwa Raila atachaguliwa, sisi kama wanajamii wa Kikuyu tutalazimishwa kuvalia kaptula"