
280 views
Ni kwa moyo mzito kwamba twatangaza kuwa mwanahabari wetu Davis Ojiambo aomboleza kifo cha babake, Mwalimu Christopher Ojiambo Oseno. Bwana Ojiambo alimpoteza babake hapo jana baada ya kuziria na kufariki mda mfupi baadaye. Kulingana na mwanahabari huyo shupavu, babake Christopher ambaye alikuwa mwalimu na vilevile afisa wa elimu kati kaunti ya Busia, alizipokea habari hizo kwa mshangao na mshtuko mkuu kwani alikuwa amewasiliana naye masaa mchache tu huku akiwa mwingi wa furaha na buheri wa afya, kabla ya kifo chake.