10,778 views
Gidi na Ghost Asubuhi on Radio Jambo
Aired 23 Mar 2016
12:31
Baada ya kuskiza masaibu ya Tim na Mary, Gidi alijawa na motisha na kuapa kuwasaidia wanandoa hawa wawili kwa kuwaahidi shilingi elfu tano ili waweze kujikimu na kuboresha maisha yao.