
445 views
kadri siku ya wapendanao inavyokaribia, ndivyo mijadala mikali inavyozuka kati ya wanaume haswa kundi la vijana ambalo lajulikana kama " Team mafisi". Kulingana na Yusuf Juma, " Team Mafisi" wametoa ratiba wakionyesha jinsi watakavyo adhimisha siku hiyo ambayo itakuwa siku ya Jumapili.