
247 views
Ilikuwa ni kicheko na machozi ya furaha asubuhi ya leo, wakati ambapo Gidi aliposimulia kisa ambacho mwakilishi wa wadi ya Alego Leonard Oriaro alitoa madai kuwa gavana wa Machakos bwana Alfred Mutua ni wa jamii ya Luo. Kulingana na bwana Oriaro, jina kamili la babake Alfred Mutua ni Habil Otieno Lut kutoka kijiji cha Kalenjuok ambacho kiko katika wadi yake. Iisitoshe, Oriaro aliongeza kuwa mjombake Mutua ni mzee wa kijiji chake.