
14 views
Serikali za kaunti zimetakiwa kupitisha miswada ya kuwawezesha walemavu kuhusishwa na uundaji na utekelezaji wa banjeti za kaunti. Darius Kinusa kutoka kwa muungano wa walemavu anasema kuwa walemavu wamesalia nyuma katika kuchangia ukuaji wa uchumi wa kaunti kutokana na kubaguliwa katika zoezi hilo muhimu.