
1,093 views
"Nlikuwa na umri wa miaka 16 pekee, na ilikuwa mida ya jioni ambapo nlikuwa natoka kumtembelea rafiki yangu wakati kisa ambacho kilibadilisha maisha yangu kilitokea." Alisimulia Atieno. "Genge la majambazi lilitokea mbele yangu na mmoja wao akanisalimu, lakini kwa woga na hofu kuu sikuweza kumjibu na hapo ndipo nlishtukia nimepigwa na kifaa butuu kichwani mwangu na kuzirai." Aliendelea Bi Atieno.