
518 views
Hayo yakijiri, Tanzania inasherehekea siku ya Jamhuri leo na rais Magufuli kama alivyopendekeza, aliongoza wananchi wa taifa hilo kwa kufanya shughuli za usafi katika barabara za mji mkuu wa Dar es Salaam, kinyume na kama ilivyo ada ya nchi hiyo, ambapo rais huongoza taifa katika sherehe. Kulingana na mtangazaji Gidi, wananchi wa Tanzania wamekumbwa na hofu kubwa baada ya matukio haya kwani wanaogopa kuwa Magufuli hivi punde atafutilia mbali sherehe siku kuu ya krismasi, kisa na maana kuokoa fedha.