
1,477 views
Kulingana na Mulee, wananchi wa Tanzania wanalalamika kwamba rais mpya bwana Pombe Magufuli amewanyima uhuru wa kusherehekea siku kuu za kitaifa huku akitaka wafanye usafi. Wananchi hao wamekiri kuwa watatahamia Kenya ambapo hamna yeyote anahitilafiana na siku kuu.