
392 views
"Gidi wajua nlikuwa mtumishi wa kanisa hapo awali hadi nlipotimia miaka kumi na minane." Alisema Ghost. "Ni kazi nzuri sana, karibu niwe padri". Ghost alifichua kuwa maono yake ya kuwa padri yalibadilika alipo kutana na "Caro" ambaye ni bibi yale Ghost Mulee.