
136 views
Huku akifanya mazungumzo yake ya kila asubuhi na wenzake Gidi na Ghost, Juma alifichua kuwa wakti mmoja alikuwa na nia ya kubadili jina lake na kuitwa 'Juma Kenya', kwani alitaka kukumbatia uzalendo wa nchi yake. Lakini kuna jambo tu ambalo lilimfanya akabadili fikra zake..