
982 views
Ikiwa ulifikiri neno "toka nje" inaweza tumiwa katika muktadha moja pekee, basi umenoa. Sikiza Yusuf Juma akieleza Gidi na Ghost kuwa neno hiyo pia inaweza tumika kueleza mtu aingie ndani ya chumba na kadhalika. Pia Yusuf Juma anaelimisha wawili hao na wasikilizaji wa Radioo Jambo jinsi ya kusema 10 002 na 12 000 katika lugha ya Kiswahili.