
44,911 views
7 Jun 2022
Performed by Bryan “Chweezy” Chweya Lyrics: Bryan “Chweezy” Chweya Produced & Recorded by Saint P Mixed & Mastered by Saint P Executive Production Manager : Mohamed Noor Executive Video Producer 1: Action Pac Media Executive Video Producer 2 : Frux Executive Creative Director : Frank Nyaga Executive Creative Team : Alex Nyandieka ,Benson Arisa ,Frank Nyaga Executive Project Coordinator : Benson Arisa Make Up Artist : Lydia Wardrobe : Shop8_ke Executive Logistics Manager : Jackson Bisera Special Thanks: Marylyn Nduku Melvin Mbuthia Ted Agwa Benali Benja Elani Company Limited Maureen Kunga Wambui Ngugi Saint P & Chweezy Make Up : Lydiagats_makeover LYRICS I Believe, I Still Believe In You and Me Tananana Lalalala…. Nakupenda Ma, Sana Ooh Lalalala….Nakuwaza Uliuliza Nini Nacho Kitaka Iliniweze Anza Mwaka Nikasema Ni Moyo Wako Tu Najua Umechoka Na Takataka Uliacha Yote Mwisho Wa Mwaka Naomba Nafasi Ya Moyo Wangu Tu Coz Baby I Believe, I Still Believe In You and Me * 2 Na Kwenye Mapenzi Wakati Mwingine Unaumia Unayempenda Anakupa Pressure Yuakuzingua Nayo Mapenzi Ni Matamu Huwezi Zuia Ukionja Tu…Wewe Umebebwa Juu Basi Njoo Unipe Penzi Baby Bado Mie Nakupenda Baby Jua Mie Nakuwaza Daily,Oh Nanana*2 Coz Baby I Believe…I Still Believe In You and Me *2 Na Kwenye Mapenzi Wakati Mwingine Unaumia Unayempenda Anakupa Pressure Yuakuzingua Nayo Mapenzi Ni Matamu Huwezi Zuia Ukionja Tu…Wewe Unabebwa Juu Basi Njoo Unipe Penzi Baby Bado Mie Nakupenda Baby Jua Mie Nakuwaza Daily …Ooh Nanana*2 Coz Baby I Believe , I Still Believe In You and Me*2