8,784 views
Bustani la Massawe on Radio Jambo
Aired 19 Jan 2015
3:28
Msoma habari wetu Yusuf Juma anazungumza kuhusu kazi, kushabikia Chelsea na mambo yeye hupenda kujishughulisha nazo wakati hayuko kazini. Pia ako ujumbe maalum kwa mashabiki wa Radio Jambo.