
176 views
28 Apr 2023
Ust. Zaytun Abdulrashid Tasleem, mwezi mtukufu wa Ramadhan una natija sana na waislamu wote hujibidiisha katika kuchuma dhawabu ndani ya mwezi huu. Hivo basi, ningependa tujifunze baadhi ya mambo ambayo yanafungamana na ibada ya funga kwa minajili ya kuzilinda ibada zetu. Katika kipindi cha leo tumekumbushwa manufaa ya funga. Kwa kurejelea kidogo, ningependa kutaja kuwa wanawake wana fursa kubwa ya kupokea dhawabu wanapowafuturisha watu wanaofunga. Hata hivo, kuna njia zingine nyingi ambazo wanawake wanaweza kuchuma dhawabu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://bit.ly/3mhaLOh Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCChannel1