
60 views
17 Mar 2023
Sheikh Abdulmalik Moshi. Tasleem, Mtume Muhammad SAW alisema kuwa katika miezi inayofuatana ya Rajab, Shaaban na Ramadhan, mwezi wa Rajab ni mwezi wa Allah SWT, mwezi wa Shaaban ni mwezi wa Rasul na mwezi wa Ramadhan ni mwezi wa Ummati Muhammad (SAW). Pepo hupambwa kwa kutarajiwa kuingia mwezi wa Ramadhan. 1. Funga 2. Kumtakia rehma Mtume SAW, aya inayoamrisha kumswalia mtume iliteremshwa mwezi huu. 3. Amali za waja wa Allah zinapokelewa katika mwezi wa Shaaban. 4. Saum ni kinga 5. Sadaka inafuta madhambi Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://bit.ly/3mhaLOh Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCChannel1 #UkumbiWaKiislamuKBC #TheGreatKBC