
166 views
24 Feb 2023
Allah SWT ametuamrisha tumwabudu na tusimshirikishe. Wengi wetu katika ulimwengu tunamwamini Allah na tunatekeleza ibada. Hata hivo kunayo mafunzo ambayo yanafungamana na ibada, ambayo inapasa tufahamu. Kutokana na mafunzo ya leo, kunazo aina mbili za Ibada... Aina za ibada, nazo ni: 1. 'Aam 2. Khaas Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://bit.ly/3mhaLOh Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCChannel1 #UkumbiWaKiislamuKBC #TheGreatKBC