
41 views
24 Feb 2023
Allah huwa hapotezi amali njema za waja wake. Yeye ni Al-Amin na Al-Haq. Neema za Allah hazihesabiki. Kuna mmoja katika waja aliwahi kuambiwa na Allah SWT alingie peponi kwa rehma za Allah. Alijibu kwa kusema ataingia kwa dhawabu zake. Hivo basi Allah akampa hesabu ya neema alizomjalia. Macho ndiyo yalikuwa neema ya kwanza Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://bit.ly/3mhaLOh Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCChannel1 #UkumbiWaKiislamuKBC #TheGreatKBC