
43 views
24 Feb 2023
Allah SWT amejitambulisha katika umoja wake, na akawashuhudisha malaika wake AS na wasomi pia wanaufahamu umoja wa Allah SWT. Kushuhudia upweke wa Allah katika ibada ndio mwanzo na mwisho wa kila jambo katika maisha ya Muislamu. Yeyote atakayetamka shahada katika kufa kwake atakuwa mwenye kuingia katika pepo ya Allah SWT. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://bit.ly/3mhaLOh Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCChannel1 #UkumbiWaKiislamuKBC #TheGreatKBC