
51 views
23 Jan 2023
Warsha ya siku tano ya wabunge kutoka kamati kadhaa za bunge ilikosa kuanza, baada ya wabunge hao kwa kauli moja kulalamika kucheleweshwa kwa pesa za hazina ya ustawi wa maeneo bunge na zile za hazina ya kitaifa ya ustawishaji. Wabunge hao walisema kucheleweshwa kwa fedha za CDF kumeathiri mipango mingi katika maeneo bunge. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://bit.ly/3mhaLOh Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCChannel1 #CDF #elimu