
14 views
28 Oct 2022
Abi Musa na Sharif walikuwa na Rasul (SAW) katika safari. Kisha wakatokeza watu wakiomba kwa nguvu na kumtaja Allah. Rasul (SAW) akawashauri wajihurumie nafsi zao, wasijikalifishe kwani Mungu wanayemwomba si kiziwi. Mojawapo ya matakwa ya kuingia peponi ni kama vile: Kuwa na imani (kumtegemea Allah) Kutekeleza matendo mema Kuepukana na makatazo ya Allah Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://bit.ly/3mhaLOh Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCChannel1 #UkumbiWaKiislamuKBC #TheGreatKBC