
234 views
9 Sep 2022
Katika sifa za kuwa na imani ni kama vile uchaji Mungu, kudumisha amani na kusema maneno ya kheri. Kulingana na hadith sahih: Muislamu wa kisawasawa ni yule anayeepuka kusema maneno yanayosababisha fujo, anaepuka kufanya mambo yanayovuruga amani na hufanya bidii kuhifadhi amani. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://bit.ly/3mhaLOh Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCChannel1 #UkumbiWaKiislamuKBC #TheGreatKBC