
74 views
5 Aug 2022
Nabii Musa AS alipowaokoa wana wa Israeli kutoka katika himaya ya Firauni LA walianzisha ibada ya kufunga tarehe tisa ya mwezi wa Muharram ili kuadhimisha nusra ya Allah SWT. Basi Mtume Muhammad akawaamrisha waislamu kufunga tarehe tisa na kumi ya mwezi wa Muharram. Hivyo basi funga bora baada ya Ramadhan ni funga ya Muharram. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://bit.ly/3mhaLOh Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCChannel1 #UkumbiWaKiislamuKBC #TheGreatKBC