
62 views
21 Jan 2022
Allah SWT huwapa uongozi anaowataka, anawapa riziki anaowataka, pia anawapa uhai anaowataka na anawafisha anaowataka. Bi idhnillahi ta'aala katika mwaka huu tunao uchaguzi mkuu hapa nchini. Hivo basi tumeona umuhimu wa kuzungumzia utawala. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://bit.ly/3mhaLOh Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCChannel1 #UkumbiWaKiislamu