
276 views
8 Oct 2021
Ustadha Hafsa Rashid Malezi ya mtoto wa kike au hata wa kiume ni jukumu kubwa katika Uislamu. Aghalabu, watoto wana hatua tofauti tofauti za ukuaji ambazo zote zinahitaji uwepo wa mzazi. Katika Ukumbi Wa Kiislamu tunaangazia malezi ya watoto na mapambo katika Uislamu