
2,144 views
19 Oct 2021
#CMBPrezzo #kenyaniyetu #ECVR2021 #IEBC2021 Wakenya wezangu wakati ni Sasa. Tumechoka na ahadi tasa kutoka kwa "VIONGOZI" wetu tuliyowaamini na mamlaka ya kazi. Baada ya kuapishwa "Viongozi" wetu huwa wanaonesha bidii ya kuchapa kazi. Baada ya mda wananchi tunagundua kwamba bidii ya kazi waliyoanza nayo ilikuwa ni nguvu ya soda. Tuzibeni ufa kwa wakati huu na hatuhitajika kujenga ukuta! Prezzo. Tembelea Vitongoji Vya Mathare Constituency: Old Mathare Primary School Mathare Youth Polytechnic Mathare Special Training School Daima Primary School Huruma Primary School Salama Primary School AIPCA Ngei 2 Primary School Lions Health Clinic Kibiro Primary School St. Teresa's Girls Primary School Ndururuno High School Ndururuno Primary School Valley Bridge Primary Credits: - Directed by - director ANDERE - Production Manager - Rachael Muthoni - Sound Recordist - Grishon Onyango - Makeup - Bella Wairimo - Edited By - Lawrence Odiwa ©2019 Administered by Ngomma VAS Limited.