50% ya wenyeji Samburu wanahitaji chakula cha msaada

  • | Citizen TV
    50% ya wenyeji Samburu wanahitaji chakula cha msaada Kina mama na watoto wanahitaji msaada wa dharura Ukame umesababisha kukauka kwa visita na ukosefu wa malisho