74 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 15 Oct 2026
15:02
Mark Bichachi anasisitiza umuhimu wa madaktari kuwasikiliza wagonjwa kwa makini, kuelewa dalili zao na kuchukua hatua zinazofaa, akionya kuwa mawasiliano mazuri kati ya daktari na mgonjwa ni muhimu katika kupata matibabu sahihi.