22 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 15 Oct 2026
5:19
Bi. Eunice Njeri anasisitiza umuhimu wa wanawake kushiriki kikamilifu katika siasa na uongozi kwa kujitokeza kuwania nafasi mbalimbali za uongozi na kushiriki katika kufanya maamuzi yanayoathiri jamii na taifa.