154 views
Maisha Jioni on Radio Maisha
Aired 15 Oct 2026
5:47
Ruto na Uhuru wakosa kuhudhuria maadhimisho ya mwaka mmoja tangu kifo cha Baba kaunti ya siaya. Hata hivo viongozi wengine wamehudhuria Ikiwemo viongozi wa vuguvugu la Linda Mwananchi.